NEW POSTS

RAIS MAGUFULI AIBUKA UWANJA WA NYAMAGANA KUANGALIA NDONDO

Rais akiingia Uwanja wa Mpira wa Nyamagana jijini Mwanza kushuhudia mechi ya mpira Kati ya Timu yaBuhongwa na Nyamagwa FC

Rais Magufuli akisalimiana na wachezaji wa mpira wa miguu katika Uwanja wa Nyamagana Mwanza.

Rais Magufuli akisalimiana na wachezaji wa mpira alipowasili katika Uwanja wa Nyamagana

Rais John Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (kulia) wakifuatilia mchezo wa mpira wa miguu kati ya timu ya Buhongwa na Nyamagwa FC katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

No comments