NEW POSTS

Kikosi cha Simba dhidi ya Gormahia faina ya Sportpesa


Michuano ya sportpesa inayoendelea kule nchini kenya inahitimishwa leo kwa mchezo wa FAINALI kati ya Simba dhidi ya Gormahia.

Bingwa wa michuano hiyo atapata nafasi ya kwenda nchini Uingereza kucheza na timu yaa Everton.

Hapa chini ni kikosi cha simba kilichopangwa na kocha Masoud Djuma  kwenye mchezo huo wa fainali hivi leo.

 

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe

3. Yusuf Mlipili

4. Paul Bukaba

5. Erasto Nyoni

6. Jonas Mkude

7. Shiza Kichuya

8. Muzamiru Yassin

9. Mohammed Rashid

10. Rashid Juma

11. Adam Salamba

AKIBA:

Ally Salim

Shomari Ally

Mohammed Hussein

Marcel Kaheza

Moses Kitandu

No comments