
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ,Kheri D. James leo ameendelea na ziara yake ya siku ya tatu Mkoani Simiyu katika wilaya ya Itilima.
Katika ziara hiyo jana amekagua miradi inayoendeshwa na Vijana na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).



No comments