Watu 19 wafariki maji, zaidi ya 30 hawajulikani walipo
Wahamiaji haramu 19 wafariki, 101 waokolewa na wengine zaidi ya 30 hawajulikani walipo baada ya mashua waliokuemo kuzama Jamhuri ya Kaskazini ya Uturuki ya Cyprus,
Mashua hiyo imeripotiwa kuazama katika umbali wa kimomita 16 na fukwe za Cyprus Kaskazini karibu na Karpaz. Kikosi cha uokozi hapo awali kiliokoa miili ya watu watatu waliokuwa miongoni mwa wahamiaji hao.
Uongozi katika eneo hilo umefahamisha kuendelea na harakati za kuokoa miili mingine ya wahamiaji waliozama na kuwatafuta wengine ambao kwa sasa hawajulikani walipo.
No comments